Psalms 78:70-72

70 aAkamchagua Daudi mtumishi wake
na kumtoa kwenye mazizi ya kondoo.
71 bKutoka kuchunga kondoo alimleta
kuwa mchungaji wa watu wake Yakobo,
wa Israeli urithi wake.
72 cNaye Daudi aliwachunga kwa uadilifu wa moyo,
kwa mikono ya ustadi aliwaongoza.
Copyright information for SwhNEN